iqna

IQNA

ahul bayt as
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ikipata ilhamu ya AhluL-Bayt (AS) iliyashinda na kuyarejesha nyuma majoka yenye vichwa saba ya Uistikbari na ikasonga mbele kimaendeleo.
Habari ID: 3475725    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria majaribio ya maadui ya kutaka kuleta mgawanyiko baina ya Waislamu na kuwasilisha taswira potovu ya kuuonyesha Uislamu kuwa ni dini ya ghasia na mapigano na kusema kuna haja ya kutilia mkazo juu ya umoja wa makundi ya Kiislamu na juhudi za kuutambulisha Uislamu wa kweli.
Habari ID: 3475724    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/03

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ahlul Bayt AS- yaani watu wa nyumba ya Mtume Muhammad SAW, ni ufungu wa Umoja wa Kiislamu na chimbuko la matumaini katika jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3475717    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Siasa katika Uislamu haimaanishi hila, hadaa na udanganyifu, badala yake dini hii tukufu inasisitiza maadili bora na uaminifu kuwa miongoni mwa vipengele vikuu katika siasa
Habari ID: 3475689    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/27

TEHRAN (IQNA) - Shughuli za juu za Qur'ani za Waislamu wa madhehebu ya Shia katika sehemu tofauti za ulimwengu zimearifishwa katika sherehe ya kufunga toleo la kwanza la "Tuzo ya Ulimwengu 114".
Habari ID: 3474180    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/11

TEHRAN (IQNA) Alhamisi tarehe nane Shawwal 1442 Hijria, sawa na tarehe 20 Mei 2021 ni kumbukumbu ya Mawahhabi kubomoa makaburi ya Ahul Bayt wa Mtume SAW ya Jannatul Baqii katika mji mtakatifu wa Madina takribani miaka 95 liyopita.
Habari ID: 3473930    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/20

TEHRAN (IQNA)- Naibu Spika wa Bunge la Iraq Hassan Karim al-Kaabi ametoa wito kwa Saudi Arabia kukarabati Makaburi ya Baqii katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3472826    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imesimama kidete kukabiliana na njama za kambi ya ubeberu na Uzayuni za kutaka kuzusha vita na mivutano baina ya Waislamu na itaendelea kukabiliana na kambi hiyo na kupata ushindi katika mpambano huo kwa idhini ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3471277    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuwafuata sawasawa Maimamu maasumu AS ni kuwafuata kivitendo watukufu hao na kudumisha mapambano dhidi ya ukafiri na unafiki.
Habari ID: 3470867    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/24